Posts

Tanzania ilivyoishinda Hofu ya Corona

Mwaka huu, hofu ilitanda nchini Tanzania baada ya kuripotiwa mtu wa kwanza kupata maambukizi ya virusi vya corona na ilizidi kufuatia kifo cha kwanza cha mgonjwa wa COVID-19, kutangazwa.

Corona ilivyoinua Wanawake wajasiriamali Tanzania

Usafi wa mikono ambapo watu hutumia maji yanayotiririka na sabuni ni moja ya kanuni za afya za kujikinga dhidi ya magonjwa ya kuhara na yale yanayoambukizwa kwa njia ya virus

Teknohama ilivyoinusuru Elimu Tanzania na Corona

Virusi vya COVID-19 maarufu kama Corona, vilitangazwa kwa mara ya kwanza kuwa vimeingia nchini Tanzania, Machi 16, 2020. Tangu wakati huo, hofu iliwakumba watanzania na hatimaye, ikatolewa amri ya ofisi, shule na baadhi…

Biashara Mtandaoni Kinamama watoboa kipindi cha corona

Ni maneno ya Bertha Mmari ( 33) Mkazi wa jijini Dar es Salaam, akiwa na uso uliojaa furaha na sauti ya kujiamini, alipokuwa akizunguzia mwenendo wa biashara yake katika kipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID 19, unaosababishwa na virusi vya…

Corona inavyoacha somo kwa kinamama kujikinga magonjwa ya milipuko

WAKATI serikali imetangaza kupungua kwa maambukizi ya virusi vya Corona, bado wananchi wanahimizwa kuendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujikinga na ugonjwa huo.

Students in Tanzania walk long Distances to access water for hand washing.

Lack of access to clean water for hand washing during the Pandemic means that students have to walk long distances to get water

Follow us on Facebook, Linkedin or Twitter

With the support of:

If you want to get in touch with us, contact us at

EMAIL: contact@theawjp.org