Tanzania ilivyoishinda Hofu ya Corona

Mwaka huu, hofu ilitanda nchini Tanzania baada ya kuripotiwa mtu wa kwanza kupata maambukizi ya virusi vya corona na ilizidi kufuatia kifo cha kwanza cha mgonjwa wa COVID-19, kutangazwa.

Corona ilivyoinua Wanawake wajasiriamali Tanzania

Usafi wa mikono ambapo watu hutumia maji yanayotiririka na sabuni ni moja ya kanuni za afya za kujikinga dhidi ya magonjwa ya kuhara na yale yanayoambukizwa kwa njia ya virus

Teknohama ilivyoinusuru Elimu Tanzania na Corona

Virusi vya COVID-19 maarufu kama Corona, vilitangazwa kwa mara ya kwanza kuwa vimeingia nchini Tanzania, Machi 16, 2020. Tangu wakati huo, hofu iliwakumba watanzania na hatimaye, ikatolewa amri ya ofisi, shule na baadhi…

Follow us on Facebook, Linkedin or Twitter

With the support of:

If you want to get in touch with us, contact us at

EMAIL: contact@theawjp.org